Tanzania emblem
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji

Wasifu

Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo
Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji

Phone : +255754301908

P.O Box : P.O Box 35394, Dar Es Salaam

Email Address : kitila.mkumbo@planninginvestment.go.tz

Date of Birth : 1971-06-21

Elimu :

 

Jina la Shule / Chuo Kozi/Digrii/Tuzo Kuanzia Mpaka Kiwango
Chuo Kikuu cha Southampton, UK PhD in Social Psychology 2003 2008 PhD
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Master of Social Psychology 2000 2002 Shahada ya Uzamili
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Shahada ya Sayansi (Ed) 1997 1999 Shahada ya Kwanza
Shule ya Sekondari ya Pugu ACSEE 1994 1996 Elimu ya Juu ya Sekondari
Shule ya Sekondari ya Mwenge CSEE 1991 1994 Elimu ya Sekondari
Shule ya Msingi ya Mgela CPEE 1981 1987 Elimu ya Msingi

 

Historia ya Kazi :

Taasisi Nafasi Kutoka Mpaka
Wizara ya Maji Katibu Mkuu 2017 2020
Kitovu cha Elimu, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Mhadhiri Mwandamizi 2011 2014
Kitovu cha Elimu, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Mhadhiri 2008 2011
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Mhadhiri Msaidizi 2003 2008
Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Afisa Tawala 1999 2003

 

Uzoefu :

Taasisi Nafasi Kutoka Mpaka
Ofisi ya Rais (Uwekezaji) Waziri 2020 2021
Bunge la Tanzania Mbunge 2020 2025
Baraza la Vijana la Afrika Mashariki Mwenyekiti 1999 2001
Wizara ya Maji Katibu Mkuu 2017 2020
Kitovu cha Elimu, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Dean 2012 2013
Ukuzaji wa Mitaala, Kitovu cha Elimu, Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Mkuu wa Idara 2009 2012
Jumuiya ya wana taaluma ya Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Mwenyekiti 2014 2015
Wizara ya Viwanda na Biashara Waziri 2021 2022
Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Waziri 2020 Current