Matangazo
KONGAMANO LA WIKI YA WANAMIPANGO
KONGAMANO LA WIKI YA WANAMIPANGO
Tarehe: 27 hadi 30 Novemba, 2023
AICC - ARUSHA
Kauli mbiu: Fikra za pamoja na utekelezaji ulioratibiwa kwa ustawi jumuishi.
Mgeni rasmi: Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa - Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania