Matangazo
MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA KWA MWAKA 2024/2025
WAZIRI WA NCHI, OFISI YA RAIS, MIPANGO NA UWEKEZAJI, MHE. PROF. KITILA ALEXANDER MKUMBO (MB.), AKIWASILISHA LEO TAREHE 06 NOVEMBA, 2023 ATAWASILISHA MAPENDEKEZO YA MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA KWA MWAKA 2024/2025 BUNGENI, DODOMA.