Habari
MHE. PROF. MKUMBO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CANADA NCHINI TANZANIA MHE. EMILY BURNS

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb.), amekutana na Kufanya Mazungumzo na Mhe. Emilly Burns, Balozi wa Canada nchini Tanzania leo Aprili 25, 2025 Jijini Dodoma.
Pamoja na mambo mengine, Mazungumzo yao yalihusu kuimarisha ushirikiano katika Sekta ya Uwekezaji na Uchumi baina ya mataifa hayo mawili.